Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Roho hainiumi sana sababu.. i felt humiliated infront of other Kapukuz... nisikitike nini...i even regret gave all myself to you!!! ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji52][emoji52]Unamdanganya nani wakati ulishamwibia jimena tayari!
Unaona kumbe hukuwa na upendo wowote kwangu, umeachika kidogo tayari unasaka vidume kwa spidi wala hujaskitika[emoji12] [emoji12] [emoji12]