Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuachwa kuachwaa...kuachwa ni shughuli pevu....wewe unakonda...yeye ananenepaa...wewe unakonda yeye ananenepaa kwa mawazo oh kwa mawazoo....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji33][emoji32][emoji29]
 
Mimi nilishafanya toba tangu jana usiku... kwa kusneak around na mume wa mtu, umenidanganya kipindi mkeo ana mimba...mwanaume hufai wewe bora wakupeleke Dodoma tu wewe...[emoji23][emoji23]
Hahaha dodoma naenda kuwekeza tu, mambo yangu huyawezi nawe ni shahidi, ntaendelea kuwa juu, na wajua vyema mimi ndo sukari yenu, ukiondoka akikatiza mrembo nimtakae sec namdaka[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom