Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hskika, kwanza mtalaka hatongozwi, kuanzia sasa namfukuza sweetipie, na nyumba na gari namnyang'anya, narudisha mapenzi kwa mpenzi wangu niliye mfungua kifuniko.
Unaonaje tu arrange tour ya ngorongoro hadi serengeti wewe pamoja na mmeo briz!
Briz ni my best friend na tumepanga kwenda Puerto Rico na tutafika mpaka The dead beach (Israel) tukirudi sasa ndo tutaenda ngorongoro kama ulivyoshauri na nahisi kwa wakati huo hata wenzetu wa Mtera watakuwa wamesharejea
 
Hahaha
Mi nasubiri kaka, il mchiz anaonekana akili anayo sema kunywa maji ya kijani ndo kume muathiri
Majigambo sana kama ya mulongo.
Uongozi na mahesabu
Unatakiwa kucheza na akili za watu.
Leo nilikuwa napiga stori na kigogo flani wa ccmuu, anamponda sana gambweeee, kuwa hafai kwa chumvi wala sukari...cicemi mengi acha muda useme
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom