Makapuku Forum

Makapuku Forum

Let them go.....
Kisha we utamcall Pattience123 myajenge mi na briz tumeamua tutaenda kupumzika Puerto Rico maana atakuwa amemaliza Project ndefu sasa atahitaji mapumziko
Hskika, kwanza mtalaka hatongozwi, kuanzia sasa namfukuza sweetipie, na nyumba na gari namnyang'anya, narudisha mapenzi kwa mpenzi wangu niliye mfungua kifuniko.
Unaonaje tu arrange tour ya ngorongoro hadi serengeti wewe pamoja na mmeo briz![emoji85]
 
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....mie spare taili kuuuumbeeee...muone. 123 uko waaaapiiiii!!!!!
123 analijua hilo, na hata sasa nimempa taarifa kuwa leo ntaenda kupeti mimbake ndo safaru ya kimojaaa kwa mpenzi wangu
 
Hskika, kwanza mtalaka hatongozwi, kuanzia sasa namfukuza sweetipie, na nyumba na gari namnyang'anya, narudisha mapenzi kwa mpenzi wangu niliye mfungua kifuniko.
Unaonaje tu arrange tour ya ngorongoro hadi serengeti wewe pamoja na mmeo briz![emoji85]
Mmewe briz
Hahaha bro sasa hiyo ni wish au nn!!?
 
Back
Top Bottom