MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,451
- 69,320
Dodoma bado haujajengwa sana kuweza kutoa huduma zote kama Dar Es salaam.Kivipi??
Vyanzo vya maji ni changamoto sana,ni chumvi kwa wingi.
Kuna Mzee moja Balozi alisema walifikiria hadi kuweka Balozi yao Iringa kwasababu iko Jirani na Dom na masaa machache tu kusafiri. Sasa sijui wameishia wapi.
Meanwhile Dodoma Inatengenezwa huduma nyngi mbadala zitafuatwa Iringa.
