Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
ThanksDone
Niko poa mkuu, naona twapishana sanaNambie mkuu
Mzee wa masauti huyo...R.I.PLeo katika Historia:
1923 - Jim Reeves anazaliwa.
Mwanamuziki mahiri toka nchini Marekani.
This world is not my home...


Maana Bukoba ni mbali aiseeUnaendesha gari kwenda Bukoba pembeni unasikiliza CD ya Jim Reeves, safari inakuwa fupi sana
Jim Reeves - This world is not my home
Halafu akafa kweliAliyoyaongea yote humo ni ya kweli aisee
Twasubiri kwa hamu sanaHabari zenu Kapukuz! leo "Old is ever Gold" ntaileta mida ya Jioni Jioni kukiwa free naona nimetingwa hapa balaa hata nashindwa kuingia studio kuweka mambo sawa au nikipata upenyo ntawaletea.
Sweetie pie
Lazma alikuwa na kitu kinamsumbua moyoni huyo hadi akaimba vile...ntafuatilia.Halafu akafa kweli
SweetMzee wa masauti huyo...R.I.P
Alikuwa kazeeka tu, na mwisho wa siku kila mtu anajua kuwa atakufaLazma alikuwa na kitu kinamsumbua moyoni huyo hadi akaimba vile...ntafuatilia.