Kumbe imesumbua kwa wote!Leo App imezingua kinoma.
Leo hakutakuwa na magazeti kabisa. Mi mpaka sasa kwangu application bado haijakaa sawa. Ila tuko pamoja sana
Asante. Imejua kututesa kwakweliKaribu tena,maana si kwa kuteseka huku
Mi kwangu hakuna picha inayofungukaView attachment 384310View attachment 384311
Nikajua KF imefutwa.....tangu jioni hadi sasa quote yenye attachment inasema hivyo
.........
Fungua kwa opena.Mi kwangu hakuna picha inayofunguka