shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Sijailewa kabisa hii kituThanks man, naona mlikua mnavizia sana![]()
Sijailewa kabisa hii kituThanks man, naona mlikua mnavizia sana![]()
Daah! Yan nilizan nmeshanyakua ushindi tayar, kumbe sivyoThanks man, naona mlikua mnavizia sana![]()

pamojaThanks dictator
Kama unatumia app uwe unafatisha ile namba ya post yenye alama ya # juu ya post kulia na siyo ile ya juu kabisa au chini kabisa ya post.. Hapo ndo utaenda sawaSijailewa kabisa hii kitu
Watu makini sana katika maamuzi.Chezea wazee wa sembe, hao jamaa wanawaza mara moja tu hawapendi kukosea mishe zao kabisa
Haha pole, mi baada ya kuona hakuna mussolin5 wala Jimena nkaona kabisa lazima nitusueDaah! Yan nilizan nmeshanyakua ushindi tayar, kumbe sivyo
![]()
![]()
![]()
![]()



hahahaha"Nmekuja kufizia post ya 86k, hivyo uimwambie mtu"View attachment 383708
Hahaha umetishaKwani nmekuambia wewe?View attachment 383710ila usitangaze sanaaa maana Mussolin5 akijua, sina changu tena
![]()
![]()
![]()
Hongera mkuu kwa 86k.
Nyota yako nyeusi.Natembea mdogo mdogo nikielekea kunyakua 86kView attachment 383809
Asante mkuu, absence yako imenitoa kimasomasoHongera mkuu kwa 86k.

Mkuu tuma salamu
hahahah...mie ni fear factor.Asante mkuu, absence yako imenitoa kimasomaso![]()
Haha napenda kutuma salamu kwa JJ na Szczesny naona wamepotea kwa pamojaMkuu tuma salamu
Mnabahati sana.. nko safarini hivyo network inazingua ndo mana sikuwa faster kivileNyota yako nyeusi.
Yani nilijitapa sana nkijua itakuwa yangu, lakini ndo hvyo nmeikosaHahaha umetisha

Haha ni wap huko mkuu itakua bado wako kwenye 2gMnabahati sana.. nko safarini hivyo network inazingua ndo mana sikuwa faster kivile
Hapo sawaKama unatumia app uwe unafatisha ile namba ya post yenye alama ya # juu ya post kulia na siyo ile ya juu kabisa au chini kabisa ya post.. Hapo ndo utaenda sawa