willy fredy
Member
- Mar 3, 2016
- 53
- 125
Nashukuru hizi taratbu nyingine nazifaham nimejarbu kupitia kwa muda nilioingia hapa ndaniSheria ipo 1 tu
MARUFUKU KUTUKANA
..........................
Nashukuru hizi taratbu nyingine nazifaham nimejarbu kupitia kwa muda nilioingia hapa ndaniSheria ipo 1 tu
MARUFUKU KUTUKANA
..........................
Fanya bivyo bae[emoji5] [emoji5] [emoji5]basi tufanye peterchoka wa Linamo au
Mambo yaku gandana mimi siyawezi... Ngoja tu niwe msindikizaji na muangalizi...Jitahidi na wewe utulie sasa
Kuwa mpole tu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Emmyguy anawanga sanaacha uchawi
Hahahahaaaaaa... Shekhe Mimi nawatakia mema ...ndo mana nasimamia hii show mpaka nione mwisho... Mulize youngnakuona unatumia nguvu nyiiingi kunipondea lakini ndo hivyo mtoto keshanidondokea, nacheka kwa dharau, teh kama dame
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Kuwa mpole tu
usijali baby wangu uko peke yako, moyo wenyewe mmoja mwingine nitamweka wapiJitahidi na wewe utulie sasa
Hakika mpenzi wangu[emoji7]Raha kama nipo dunia ya peke yangu.[emoji8]
Tutambulishane basiusijali baby wangu uko peke yako, moyo wenyewe mmoja mwingine nitamweka wapi
Nnesahau[emoji144] [emoji99]Ndio ww hupendi?
Usije mweka kwapani tu maana hamchelewi nyieusijali baby wangu uko peke yako, moyo wenyewe mmoja mwingine nitamweka wapi
Siwezi kukujibu maana mpenzi wangu yuko humu humu, nitaku pm.Emmyguy anawanga sana
Hapo sasa😀usijali baby wangu uko peke yako, moyo wenyewe mmoja mwingine nitamweka wapi
Lol we jibu tuSiwezi kukujibu maana mpenzi wangu yuko humu humu, nitaku pm.
teh, unconditionaly baeFanya bivyo bae[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Nenda love connect utawapata wengi[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
[emoji175] [emoji175] [emoji175]Hakika mpenzi wangu[emoji7]