Makapuku Forum

R.I.P muheshimiwa Kolimba.
 
Never trust politicians
.........
 
Leo katika Historia:

1980 - Esteban Cambiasso anazaliwa.

Ni kiungo mkabaji wa zamani wa Real Madrid, Inter Milan, Leicester City na timu ya taifa ya Argentina.

Anajulikana zaidi kwa staili yake ya Kipara.

Katika Kombe la Dunia mwaka 2006, Cambiasso alifunga goli dhidi ya Serbia, goli hilo lilitokana na idadi ya pasi 23 bila kuguswa na mchezaji wa Serbia.
 
Leo katika Historia:

1984 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Robert Huth.

Ni beki wa zamani wa Chelsea, Stoke city na Leicester City.

Alikuwa ni sehemu muhimu katika timu ya Leicester City iliyobeba ubingwa wa EPL msimu uliopita ambapo alitengeneza kombinesheni ya hatari na Captain wa Leicester, Wes Morgan.
 
Hatari sn
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…