Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 3,140
- 6,030
We mng'arishe, sisi twalaPolee, chukua blanket jifunike. Nipo nakutafutia hela uendelee kung'ara.
We mng'arishe, sisi twalaPolee, chukua blanket jifunike. Nipo nakutafutia hela uendelee kung'ara.
Tayari soma post #1 jina lako lipoMkuu PM naona kuna tatizo ebu nipe muafaka wa usajili tafadhali...
Okay babySo jiandae baby wangu
KabisaMapenzi hayana mwenyewe.
Umechelewa mno kuamka leo. ...kwema?Nakusabahi...........
Morning sisterDuhhh!! Nyie nomaaa 8000 tayari na imekaribia 9000![]()
![]()
![]()
![]()
........Morning dears
![]()
![]()
Waooo!!! Hongereni sana...kazi nzuriTulipeana majukumu kuwa tusilale mpake replies zifike 8k
Tulikuwa Mimi, briz MANDELAA KIWELU na Cobblepots
acha uchawiWalianza Adam na Eva wakavuma mwisho wakafulia sembuse....
Hizo ndiyo details ulizoomba.Una hatari Sana
Bure tu.Sanaaaaaaaaa mpendane mpaka dunia itikisike kwani shs ngapi?
Asante kwa usajili....sasa bila shaka na mm kama sheria zinaniruhusu nipatiwe mji tafadhaliTayari soma post #1 jina lako lipo

Swalama yakheHabari zenu.
Utakuwa star wa wikiNiongezee kwenye list mkuu maana nimegundua chamber hii asubuhi hii tu na tayar nimesha piga kama 200 hivi itakuwaje baada ya wk 1..
Swalamaa shekheee... Leo umechelewa kidogooSwalama yakhe
Ukapelekwa wapi?Nimesha chukuliwa manuu

🙂Haha asante kwa kutukumbusha nadhani nikiwa naelekea mwika nakuacha njiani
Huyu ni mwanaume suti si surualiAsije tu kukuita mwanaune suruali humu. Jitaidi
Morning to youDuhhh!! Nyie nomaaa 8000 tayari na imekaribia 9000![]()
![]()
![]()
![]()
........Morning dears
![]()
![]()
KwanguUkapelekwa wapi?![]()