Number 7, Saudia Flight 163 – 30, walifariki
View attachment 383376 19 August 1980, ndio ndege hii ilipopata janga hilo
Inasemekana kuwa wakati ndege iko angani kuna mmoja wa mahujaji wa kutoka pakistan alikuwa akichemsha chai kwenye butan stove na ndiposa moto uka kama kuanzia kwenye sehem ya kuhifadhi mizigo na wakati marubani walipo hisi kuna kitu kina waka hapo wali omba wafanya kushuka kwa emergemce uwanja wa ndege wa Riyadh, na kweli walikubaliwa
Lakini ndege ilipo shuka haikusimama pale ambapo zima moto walihisi ita simama hivo na kufanya wachelwe kuifikia takriban dakika 5,na kitu, baada ya kushuka ndege hiyo , watu wa zima moto hawaku isogelea kwani injini ilikuwa haija zimwa na ilichukua kama dakika 10,na zaid kuzima, wakati ilpo kwisha zimwa tuu, injinia mmoja alienda karibu na mlango kuufungua kwani marubani hawakuwa wamefungua, ndege hiyo ililipuka hapo hapo
Sasa wakati wa uchunguzi wa maiti iligundulika kuwa ni watu waili tuu ambao ni mainjinia walikifa kwa mlipuko ika wengine wote walikufa dakika 23,kabla, hivo ina aminika kuwa abiria hao walifariki kwa moshi mda ambao watu wa fire walikuwa wakiifuata ndege na wakisubiri injini ifike, na kwa kuwa abiria wote mabaki yao yalikutwa kwenye nusu ya mbele ya ndege walithibitisha kuwa moshi ndio uliwaua na si moto
Hawa walikufa kifo cha mateso zaid nadhan kuliko ajali nyngne