Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Hongera sana,
Ila umemuonea sana shululu, ukute wala hakujua kama imekaribia
Hongera sana,
Ukija utakunywa
Hii nilijua, ila hesabu ikagomaHongera sana,
Ila umemuonea sana shululu, ukute wala hakujua kama imekaribia
Weka pichaTwiga alipandaje kwa mfano
Hongera sana Briz wewe ndio mtu pekee uliegundua kipaji cha Mussolin5 hapa jukwaniWe jamaa nimekunyooshea mikono, we bonge moja la mviziaji... Big up
DiiiiHongera sana Briz wewe ndio mtu pekee uliegundua kipaji cha Mussolin5 hapa jukwani

Sasa wewe ulikuwa wapi mpaka Musso anatupia??Hesabu zako leo umezichanga Vibaya
RiwayaaaHabari zenu Makapuku wenzangu, japo shughul zimanibana lakini lazima nije japo kuwasabahiView attachment 383244
Weka pichaHapo alikuwa HB vibaya mno
Mi mpaka anaachia namba sijaona tatizo loloteYap
Hapo hata kama alibadilika nilimsamehe kwan alipendeza
HaiezekanMi mpaka anaachia namba sijaona tatizo lolote
Msukuma wa kishua
![]()
![]()
..........
Ya nani?Weka picha
"The only warning Africans take serious is low battery"
Mugabe wa WhatsApp
![]()
![]()
.........