Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
[emoji120] [emoji120][emoji4]
Nafurahi, wewe unapo kuepo tuu apa
[emoji120] [emoji120][emoji4]
Nafurahi, wewe unapo kuepo tuu apa
Salamaa kabisa!![emoji5]Swalamaa wewe je!!?
Ayaaaaa....basi tena, poleni na huko jamani.Nlitaka nkuletee dawa jana sema huku nako tukapata mgonjwa
Jamani Wajerumani nao...Ilikuwa ukivuka ndo kifa kwako
[emoji85] [emoji85][emoji22] [emoji477]
Hillary Clinton haingii hata nusu kwa MonicaMonica alikuwa mzuri lakin mweer!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Chogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tit for tat
Itakuwa walim "terminate" kiaina kulinda protocol zao.Aaah
Alaf kifo cha uyu ssta kilijaa utata hvii
Poa kakaHabari zenu Makapuku wenzangu, japo shughul zimanibana lakini lazima nije japo kuwasabahiView attachment 383244
Asante jirani...nimeponaPole sana jirani
Hahahaha aiseeEti leo nmemtext wangu wa zamani *Hi.... aka-Update Her Status (Am Happy without you) alijua cjui nataka nn kumbe nlitaka nimwambie nmekutana na Mamake Mjini kavaa Koti langu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....................
YapHapo alikuwa HB vibaya mno
Wakawaachia na kifaransa jumlaLeo katika Historia:
1960 - Gabon yajipatia Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
Leo naona afya sibaya bhanaSalamaa kabisa!![emoji5]
Wanazi nao wana roho kama ya DinosourLeo katika Historia:
1962 - Peter Fechter anapigwa risasi na kuuwawa na walinzi alipojaribu kuvuka ukuta mpya wa Berlin.
Hata dalili za kutungwa kwa mimba ya mimi kuzaliwa hazikuwepo. Nimeona computer kwa mara ya kwanza niko standard 1.Leo katika Historia:
1962 - Compact Disc " CD " za kwanza zaanza kusambazwa mtaani huko Ujerumani.
Mi nashangaa handsome bill aliushiaje kwa hilaryHillary Clinton haingii hata nusu kwa Monica
Nimepona kabisa!Mpenzi umepona!
Alifaudu sana.Leo katika Historia:
1998 - Rais Bill Clinton wa Marekani anakiri kupitia tepu zilizorekodiwa kuwa, alikuwa na uhusiano na Monica Lewinsky, mfanyakazi wa ikulu ya Nchi hiyo.