Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Mkaka wa watu maskini
Mkaka wa watu maskini
Yeah pengine niItakuwa walim "terminate" kiaina kulinda protocol zao.
Tanzania hata medali ya udongo bado sanaLeo katika Historia:
2008 - Michael Phelps anakuwa mwanamichezo wa kwanza kushinda medali 8 za dhahabu katika michezo ya Olimpiki ya 2008.
Duuh H.B dayLeo katika Historia:
1844 - Mfalme Manelik II azaliwa.
Alikuwa ni mfalme wa Ethiopia.
MweeerHata dalili za kutungwa kwa mimba ya mimi kuzaliwa hazikuwepo. Nimeona computer kwa mara ya kwanza niko standard 1.
Huyu mkaka siku hizi mbona kimya sanaLeo katika Historia:
1977 - Thierry Henry anazaliwa.
Ni mchezaji wa wa zamani wa Arsenal, Barcelona na Ufaransa.
Ni mchezaji bora zaidi wa Kigeni kuwahi kucheza EPL.
HahahaMkaka wa watu maskini
Ni Mzuri kuliko hata Hillary.
Hapana mfano wa huyu
Mzee wa Machette huyu...hakuwa mtu mzuri hata!Leo katika Historia:
1988 - Jihadi John anazaliwa.
Alikuwa ni mwanachama wa kundi hatari la kigaidi la ISIS.
Alifariki mwaka 2015.
Ana kipaji cha pekeeHuyu Jamaa medali zikimuona zinacheka zenyewe
Wakongwe nao kumbe eeh!Leo katika Historia:
1945 - Siku ya Uhuru wa Indonesia.

Hana mashiko ya kucheat yule.Hillary naye atamtosa bill wakiwa white house?
Kuna tofauti kati ya mwanamke wa kuoa na mwanamke wa 'mambo' mengineMi nashangaa handsome bill aliushiaje kwa hilary

Asante sana kwa hustoria nonoSina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mzee Akilimali, tukutane kesho.
Ni picha tu maan hamna namnaWeka picha.
Ana mapembe huyu...

Uso wake umepoa sana hana mashamsham
Katili ukatilini....
Hata mimi naskia ila sijafahamu badoNimeliskia sana jina la huyu mzee, inaonekana ndo habari ya mjini... Kwan kafanyaje?