Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,638
Hongera sana
Sure!Bongoland everything is possible
![]()
![]()
![]()
.............
"The only warning Africans take serious is low battery"Komredi Mugabe nae si haba japo vijana wanamzushia baadhi ya mambo.
Tatizo jina lake, alisema anastaafu ila kwakuwa yeye ni dikteta ananyoosha tuWe jamaa nimekunyooshea mikono, we bonge moja la mviziaji... Big up
Huwezi jua labda na mimi ni Msukuma.We kweli ndezi.....unapenda sifa kumzidi ngosha
![]()
![]()
![]()
..........
Asante komredi.Hongera sana
Msukuma wa kishuaHuwezi jua labda na mimi ni Msukuma.
In short...tumelalaSure!
Haha uko sahihi kabisaTatizo jina lake, alisema anastaafu ila kwakuwa yeye ni dikteta ananyoosha tu
Congratulations man
Hesabu zako leo umezichanga VibayaCongratulations man
Hamna, sikuwepo! Ila Mussolin ni shigda!!!Hesabu zako leo umezichanga Vibaya
Nzuri sana, umeadimika tuHabari zenu Makapuku wenzangu, japo shughul zimanibana lakini lazima nije japo kuwasabahiView attachment 383244
Sasa Swt P we fikiria afike airport tuu aseme kuna nuka et!!!
Japo ni kweli hata ukitoka mikoan unapo ingia dar unaona kabsa huju hewa nzito kdogo

Hapo alikuwa HB vibaya mnoMi nahis ange ishia hapaaa
View attachment 383130alikuwa poa tuu Michael aliniuma kama nimefiwa na jirani yangu hvi