briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Tutaambiwa tu ipo gereji [emoji4][emoji4]Miaka mitano mbona mingi?
Tutaambiwa tu ipo gereji [emoji4][emoji4]Miaka mitano mbona mingi?
Kawe beach pana nafuu, anafanyia kwenye swimming pool la Serena hotelHahaha
Muegeleaj gan mazoez ana fanyia kawe beach
hahaha...Wabongo katka ubora wetu.Utashangaa siku ya kwanza imegoma kufungua taili
No hurry in Africa.Only in Africa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
.........
Wapuuzi wale.....now wamekimbia kabisa Chit chatBila kumsahau Mchele na hela, Gentasisimizi.
Wana sema wale ukoo wao kila sketi walikuwa wanataka wafunueMpaka leo haijulikani ni nini kilimuua huyu Mrembo wa aina yake?
Tetesi ni kuwa alitembea na Kennedy's brothers. Sasa ili isiwe aibu kwa Taifa akanyamazishwa na wenye nchi yao.
Kama ile ndege ya RaisTutaambiwa tu ipo gereji [emoji4][emoji4]
Continent of BlindsNo hurry in Africa.
Hawana muda na twiga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana.
Huku twiga wakipandishwa tu ndege.
Twiga alipandaje kwa mfanoHaha sasa hii ni shida, hivi ng'ombe unampakataje?
Hata ubahiliNdio mkuu...Kiukweli mambo mengi sana tumechelewa kuyajua hapa bongo.
Ni ile ya ocean road usawa wa ghymkana ama?Au Beach Kimba ?
They call it Africa, We call it Home.Continent of Blinds
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
........
Unamuweka kwenye korido......treni za Kigoma wanapakizaga mbuzi kibaoHaha sasa hii ni shida, hivi ng'ombe unampakataje?
Hapo sasa afu ashindwe Ng'ombe?Twiga alipandaje kwa mfano
Ile ya twiga sio ya abiria mkuu, kwa namna ilivyo ile twiga wanafit kabisaTwiga alipandaje kwa mfano
Una utani na wapareHata ubahili
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............