Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
MmmhBelieve me, steringi lazma afie kwenye maua.
Wananchi ndio watakaoamua kumtingisha, ila sio system.
Anaungwa mkono kwa asilimia 90
Hizo takwimu za 90% umezipata wapi???
Ngoja tusubirie Ukuta
MmmhBelieve me, steringi lazma afie kwenye maua.
Wananchi ndio watakaoamua kumtingisha, ila sio system.
Anaungwa mkono kwa asilimia 90
Nimeangalia kwenye profile yako...umeandika mji ambao sio bongo Nordik nadhani ni Denmark au Norway...na kwa nnachojua mimi huko si wapo wazungu?? hao jamaa huwa hawaamini kabisa uwepo wa Mungu ndo maana nikasema vile, mimi nakufahamia KF tu... kama nimekosea nisamehe.Sasa umenijuaje kiasi cha kusema nilipo watu hawaamini??
Labda tuanzie hapo
Umenishtua kiasi
Hizo sio za wananchi. Hizo ni za wenye nchi yao.Mmmh
Hizo takwimu za 90% umezipata wapi???
Ngoja tusubirie Ukuta
HahahahaMwl alisema tufunge mkanda kwa miezi 18.
Lakini nahisi tumefunga mikanda mpaka leo.
[emoji125] [emoji100]Sasa PM mlikuwa mnafanyaje??
HahahaHapa sasa tunadanganywa live
Ooh hapo sawaHizo sio za wananchi. Hizo ni za wenye nchi yao.
Nadhani umenielewa. Ndio maana nikakwambia Wananchi ndio wenye uwezo wa kuja kumtingisha kama tunavyotarajia Septemba 1.
Noo haikuwa Big deal na wala hukukosea, sawa nimekupata vyema, ni Nordic country ila sio Norway wala DenmarkNimeangalia kwenye profile yako...umeandika mji ambao sio bongo Nordik nadhani ni Denmark au Norway...na kwa nnachojua mimi huko si wapo wazungu?? hao jamaa huwa hawaamini kabisa uwepo wa Mungu ndo maana nikasema vile, mimi nakufahamia KF tu... kama nimekosea nisamehe.
Peace...[emoji120]Noo haikuwa Big deal na wala hukukosea, sawa nimekupata vyema, ni Nordic country ila sio Norway wala Denmark
Just take it easy
[emoji120] [emoji106]Onjera sana mkulu
[emoji111]Gud morning mkubwaaa
Nimeshakusanya mizigo yangu yote naweza kuondoka anytime from now[emoji125] [emoji100]
Umiona!!![emoji276]
Umetisha sanaBelieve me, steringi lazma afie kwenye maua.
Wananchi ndio watakaoamua kumtingisha, ila sio system.
Anaungwa mkono kwa asilimia 90
Usijari kabisa, hii ndiyo KFNimeangalia kwenye profile yako...umeandika mji ambao sio bongo Nordik nadhani ni Denmark au Norway...na kwa nnachojua mimi huko si wapo wazungu?? hao jamaa huwa hawaamini kabisa uwepo wa Mungu ndo maana nikasema vile, mimi nakufahamia KF tu... kama nimekosea nisamehe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usijari kabisa, hii ndiyo KF
Mkuu naona kipya kinaku....mpaka unaharibu[emoji41]Mkuu
Nadhan kivuruge unamjua nin nan kat yety
Sweetiepie leo mukongo yupo na hutaki kuongea naye kilingara[emoji120] [emoji106]
Mukongo yupo, umemuona?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwenda wapi tenaNimeshakusanya mizigo yangu yote naweza kuondoka anytime from now