Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Leo katika Historia:
Ni siku ya watoto nchini Paraguay.

Leo katika Historia:
Ni siku ya watoto nchini Paraguay.

Hapo utatenda vema sanaItabid itafutiwe top 10 yake hii
Happy bday dadaKwa udhamini wa birthday ya dada yangu, Sina la ziada tukutane tena kesho.
Nimkaribishe JJ alete Magazeti.
bye...
Yeye lowasa?Kachunge ng'ombe
![]()
![]()
![]()
.............
Happy Birthday Madonna
baadae nikimaliza magazeti ntaweka ngoma zake mbili tatu
Shururu hongelaAsante sana Mussolin5 kwa historia
Bila kupoteza muda nawaletea magazeti ya leo jumanne kwa udhamini mkubwa kabisa wa kuingia kwa shululu kwenye top 20
View attachment 382384View attachment 382385View attachment 382386
Mkwe Jana ulisema umeenda ubungo kupokea mgeni, mgeni hajatambulishwa na ukapotea gaflaHahaha
Mkwe hizo ni dhahania zao tuu
MkweeeView attachment 382421View attachment 382422
Na mpaka hapo basi sina la ziada kutoka magazetini....
Shukrani kwa kuwa pamoja nami pia napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mdhamini wa segment hii ambae ni shululu kwa kuingia top 20
Niite Jimena Jimenes
Nawapenda wote
ViatuWengine watu wa wapi
Thanks sanaKaribu
Bila kusahau lile swala la kuita mtu PMMkwe Jana ulisema umeenda ubungo kupokea mgeni, mgeni hajatambulishwa na ukapotea gafla
Gud morning mkubwaaaDuh! Nimepamisi KF! Goodmorning peoples....
Ndio anaonekana mchana huuMkwe Jana ulisema umeenda ubungo kupokea mgeni, mgeni hajatambulishwa na ukapotea gafla
Mbona nana anzeeka dailyOld is ever Gold huyo....anazidi tu kuwa mdada.
Asante sana, vipi PM imeleta mafanikio??Thanks sana
Segimenti nzuri

Onjera sana mkuluImoo
Wewe hizo likes unatoaa???Makapuku forum raha sana hata ukikohoa unapewa like za kumwaga