Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,268
- 68,342
Tayari nishaweka mambo hapo.Story ya Madonna na tukio la Argentina
Waargentina walikuwa na masikitiko baada ya kugundua Eva Peron kuwa ana kansa, sasa Eva hakupenda wananchi wasononeke. Akaomba itungwe nyimbo kwa heshima ya watu wa Argentina waliokuwa wanahuzunika.
Eva Peroni alikuwa ni mke wa Rais wa nchi hiyo, na pia kutokana na uongozi wake bora kama First lady wa nchi hiyo, akapewa " Urais wa Heshima "
Alifariki akiwa na miaka 33. Mbichi kabisa.