Makapuku Forum

Makapuku Forum

Eti unakumbuka Argentina kulitokeaga janga gani miaka ya 2000s
Kuhusu hiyo nyimbo, Dont cry for me

Kuhusu hiyo nyimbo, Dont cry for me Argentina ni nyimbo iliyotungwa na Julie Covington mwaka 1976 kwa ajili ya Eva Peron, ambaye alikuwa Rais wa heshima nchini Argentina baada ya kugundulika ana kansa.

Nyimbo hii ilikuja kurudiwa na Madonna.
 
Wakati alipoirudia ndo kulikuwa na kitu ila sasa ndo sikikumbuki
 
Back
Top Bottom