Makapuku Forum

Makapuku Forum

So makadirio ya gharama hizi yalifanywa kwa dolari za kimarekani
Yaan usd
So usd= United states Dollar kwa kiswahili ndo dola za kimarekani
Halafu dolari moja ni sawa na zaid ya shilingi 2000 za kitanzania kwa hiyo uta piga hesabu
Lets go
Mdogo mdooogooo
 
Number 10, Elizabeth Taylor na Larry Fortensky – usd 2.5 Million
1471278765746.jpg
hii ilikuwa ni mwaka 1991 kwenye ranch ya Michael Jackson iliyo itwa Neverland huko Hollywood na ilikuwa na wageni takriban 160,na walikuwa wagen wazito kweli kweli kama vile Eddie Murphy, Nancy Reagan, Quincy Jones,Macaulay Culkin na Liza Minnelli, Michael ndo ali act kama baba wa bibi harusi na wanasema gauni la bibi harusi bibi liz ilikiwa ni $25000
Amini usiamini ndoa hiyo ilikiwa ni ya saba kwa bibie Liz na mapaparazi walizuiwa kabsa kabsa na hata helkopta ya doria iliwekwa kuhakikisha hakuna kivuruge atakaye ingia kupga picha hovyo
Harusi hiyo ilivunjika miaka mitano baadaye yaan 1996
 
Number 9, Paul McCartney na Heather Mills – usd 3 Million
1471279260582.jpg
hii ilikuwa ni mwaka 2002 na paul alikataa mamilion yaliyo tolewa na majarida mbali mbali kwa ajili ya kutoa picha za harusi yake, walifunga harusi ya tamaduni za kihindi huko Ireland kwenye jumbla la Castle Leslie huko kijijin Glaslough. Harusi ilihusisha wacheza show wa kihindi, fataki zlizo gharamiwa usd 150,000, na maua ambayo yalikuwa yana gharama ya usd 145,000 na walicost jumba hilo kwa usd 40,000
Baadaye ringo, george na paul walipga wimbo mmoja akiwa tge beatles
Pia hiyo ilikuwa ni harusi ya pili baada ya mkewe wa kwanza kufariki mwaka 1998, ndoa ilidumu miaka kama mitano na kidogo kwani mwaka 2008 talaka rasmi ilitolewa
aaah these people, what a watse of money!!
 
Number 8, Liza Minnelli na David Gest – usd 3.5 Million
1471279988501.jpg
liz ni muigizaji na dave ni pruducer ,hawa harus yao ilifanyika huko New York mwaka 2002 ikiwa na wageni waalikwa zaid ya 850 wakiwemo watu kama Diana Ross, Donny Osmond , na Mia Farrow kwenye hotel kuvwa iitway Regent, walio simamia ndoa hiyo walikuwa ni Mr Michael Jackson na Miss Elizabeth Taylor
Keki tuu ibakadiriwa ilikuwa ni dola za kimarekani laki nane(usd 800000) na ilikuwa ni moja ya harusi maarufu sana
Cha kushangaza ndoa yao ilidumu miez 16 tuu
 
Number 7, Chelsea Clinton na Marc Mezvinsky – usd 5 Million
1471280473728.jpg

Imebid nitume kama ilvo andikwa hvi hvi

The former First Daughter Chelsea and husband Marc married in 2010 and celebrated their special day with 400 close friends and family in a small town in upstate New York called Rhinebeck. The bride wore a dress made by Vera Wang, who was also a guest, Bill and
Hillary wore Oscar de la Renta. Although their guest list was fairly large, there were a small amount of celebrities, but a large number of congressmen and congresswomen. Despite rumors that the couple were seeking a divorce in 2012, Chelsea and Marc are still happily married.
 
Number 10, Elizabeth Taylor na Larry Fortensky – usd 2.5 Million View attachment 382167hii ilikuwa ni mwaka 1991 kwenye ranch ya Michael Jackson iliyo itwa Neverland huko Hollywood na ilikuwa na wageni takriban 160,na walikuwa wagen wazito kweli kweli kama vile Eddie Murphy, Nancy Reagan, Quincy Jones,Macaulay Culkin na Liza Minnelli, Michael ndo ali act kama baba wa bibi harusi na wanasema gauni la bibi harusi bibi liz ilikiwa ni $25000
Amini usiamini ndoa hiyo ilikiwa ni ya saba kwa bibie Liz na mapaparazi walizuiwa kabsa kabsa na hata helkopta ya doria iliwekwa kuhakikisha hakuna kivuruge atakaye ingia kupga picha hovyo
Harusi hiyo ilivunjika miaka mitano baadaye yaan 1996
Kwa gharama hizo lazma ivunjike baada ya huo muda...wangezileta hizo pesa huku kudonate kwa watoto yatima na kuwajengea makazi watoto wa mitaani tu tujue moja
 
Number 9, Paul McCartney na Heather Mills – usd 3 Million View attachment 382171hii ilikuwa ni mwaka 2002 na paul alikataa mamilion yaliyo tolewa na majarida mbali mbali kwa ajili ya kutoa picha za harusi yake, walifunga harusi ya tamaduni za kihindi huko Ireland kwenye jumbla la Castle Leslie huko kijijin Glaslough. Harusi ilihusisha wacheza show wa kihindi, fataki zlizo gharamiwa usd 150,000, na maua ambayo yalikuwa yana gharama ya usd 145,000 na walicost jumba hilo kwa usd 40,000
Baadaye ringo, george na paul walipga wimbo mmoja akiwa tge beatles
Pia hiyo ilikuwa ni harusi ya pili baada ya mkewe wa kwanza kufariki mwaka 1998, ndoa ilidumu miaka kama mitano na kidogo kwani mwaka 2008 talaka rasmi ilitolewa
aaah these people, what a watse of money!!
Shame on them!!! migharama mikubwaaa ndoa hazidumu
 
Number 8, Liza Minnelli na David Gest – usd 3.5 Million View attachment 382174 liz ni muigizaji na dave ni pruducer ,hawa harus yao ilifanyika huko New York mwaka 2002 ikiwa na wageni waalikwa zaid ya 850 wakiwemo watu kama Diana Ross, Donny Osmond , na Mia Farrow kwenye hotel kuvwa iitway Regent, walio simamia ndoa hiyo walikuwa ni Mr Michael Jackson na Miss Elizabeth Taylor
Keki tuu ibakadiriwa ilikuwa ni dola za kimarekani laki nane(usd 800000) na ilikuwa ni moja ya harusi maarufu sana
Cha kushangaza ndoa yao ilidumu miez 16 tuu
Hawavutii...
 
Number 7, Chelsea Clinton na Marc Mezvinsky – usd 5 Million View attachment 382177

Imebid nitume kama ilvo andikwa hvi hvi

The former First Daughter Chelsea and husband Marc married in 2010 and celebrated their special day with 400 close friends and family in a small town in upstate New York called Rhinebeck. The bride wore a dress made by Vera Wang, who was also a guest, Bill and
Hillary wore Oscar de la Renta. Although their guest list was fairly large, there were a small amount of celebrities, but a large number of congressmen and congresswomen. Despite rumors that the couple were seeking a divorce in 2012, Chelsea and Marc are still happily married.
Angalau wanajielewa hawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom