Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Nzuri, za weweHabar ya jion wapendwa
Umemwona patience123 ati dadaNafasi gani hiyo Mukongo aliiomba kipenzi changu kaka ake mimi? nkumbushe basi.

Nakusubiri urudi nyumbani nikwambie...punguza wivu kaka kipenzi.Nafasi uwe sukari yake![]()
![]()
![]()
![]()
Haha unaulizia makofi polisi!Unaitaka??
Nimemuona amazing tu...123 sijamuona, vp unataka unitambulishe kaka?Umemwona patience123 ati dada![]()
Niko poa ndugu yanguNzuri, za wewe
Wale waleeee....wazee wa kuspend mahelaNumber 5, Kim Kardashian na Kris Humphries – usd 10 Million View attachment 382228hii ndiyo harusi ambayo karibu kila chombo cha habari kilitaka kiinunue na wao hizo milion 10 hawaku hangaika kuzilipa kwani talevisheni ya E! Ili kava karibu gharama zoote kwa makubaliano kuwa tv hiyo ita onesha harusi yote live, na harusi ilipo oneshwa iliangaliwa na watu zaid ya milion kumi, na pia waliingiza wao kisa cha usd milion 18 kwa makampun yaliyo taka picha zao, eeh ndo hvo
Ika ndoa yao haikudumu kwani wali weka rekodi ya kudumu kwa siku 72 tuu
Amaizing,,,unataarifa za patience123?Themejiiiii
Yupo utamwonaNimemuona amazing tu...123 sijamuona, vp unataka unitambulishe kaka?
Safi... Uko poa Wewe??Mambo vipi Amazing?
Habari za iringaNiko poa ndugu yangu
Niko poa mrembo...Safi... Uko poa Wewe??
Khaaaaa.. Saa 72Number 5, Kim Kardashian na Kris Humphries – usd 10 Million View attachment 382228hii ndiyo harusi ambayo karibu kila chombo cha habari kilitaka kiinunue na wao hizo milion 10 hawaku hangaika kuzilipa kwani talevisheni ya E! Ili kava karibu gharama zoote kwa makubaliano kuwa tv hiyo ita onesha harusi yote live, na harusi ilipo oneshwa iliangaliwa na watu zaid ya milion kumi, na pia waliingiza wao kisa cha usd milion 18 kwa makampun yaliyo taka picha zao, eeh ndo hvo
Ika ndoa yao haikudumu kwani wali weka rekodi ya kudumu kwa siku 72 tuu

Hapana aiseeAmaizing,,,unataarifa za patience123?
Nshamwona..Yupo utamwona
, mother house