Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO 1#

Sisi tunafahamu kuwa tu taifa dogo sana ukilinganisha na Tanganyika
Hata hivyo,tuna imani kubwa katika umoja.

Tungependelea kuona Kuna umoja Kati ya mataifa mbali mbali ulimwenguni. Ndiyo maana Muungano wa Tanzania unatupa moyo na ni wa maana sana kwetu.

Haya yalisemwa na aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais, Aboud Jumbe, wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari wa kimataifa kwenye makao makuu ya Chama cha afro shiraz mjini Zanzibar,
Agosti 13,1972. Aboud Jumbe Mwinyi alizaliwa Jun 14,1920 na kufariki Agosti 14, 2016. Amezikwa leo hii Agosti 15,2016
1471271797887.jpg
1471271804064.jpg
1471271808713.jpg
 
R I P Abdu Jumbe
 
NUKUU NO 2#

CUBA inafuata mfumo wa siasa utakaoifaa na tuko tayari kubaki hata miaka 10 au 20 bila uhusiano na Marekani.
Hali yetu ya baadaye itakuwa nzuri bila Misaada kutoka Marekani.

Haya yalisemwa na aliyewahi kuwa waziri wa Cuba, Dk Fidel Castro, wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 26 ya mapinduzi yaliyouondoa ubeberu wa kimarekani.
Katika kisiwa hicho ambapo alisisitiza Marekani si polisi wa Marekani ya kusini na kuipongeza Peru kuanzisha uhusiano na Cuba licha ya katazo la Marekani

Peru iliungana na Chile, Mexico na Jamaica kuipuuza Marekani kwa kuanzisha uhusiano na Cuba

Castro alizaliwa Agosti 13,1926. Alikuwa waziri wa Cuba mwaka 1959 hadi 1976 na kisha kuwa Rais nchi hiyo hadi 2008
 
Kamanda huyo
 
1471272631321.jpg
1471272637897.jpg
1471272642449.jpg
 
Sio kweli,
Wanaume nao vichomi tu, sasa ye hawaendekezi akiona wanazingua anapiga chini.
Mark Antony aliwahi kuwa mtu wake kitambo, kisha wakaachana kila mtu akashika ustaarabu wake waliporudiana ndio wakazaa,
Ila nilihisi wasingeweza kuwa pamoja maana Mark Antony nae kwa kubadilisha hajambo
Mark Anthony nae ni tatizo kwakweli...yaah Jennifer huwa hadumu na Vichomi hata kidogo
 
Kisiki kilichowashinda Wamarekani. CIA walishafanya majaribio zaidi ya 250 kuking'oa kisiki hiki lakini wakashindwa. Mpaka girlfriend wake kabisa akafika na sumu kali akakikuta kimelewa chakari, akaitoa sumu na kuiweka kwenye kikombe akakipa lakini dakika za mwisho girlfriend akajikuta analia tu "I love you Fidel. I can't kill you Fidel" CIA wamekusanyika kwenye hoteli wanasikiliza laivu wakajikuta wanararua makaratasi "Damn, we failed again!" Long live kamanda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom