Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
NilitaniaMaana Kama ni Mark Antony walikuwa ni pair nzuri tu wala hakuwa babu...kazaliwa 1968, Jennifer yeye 1969.
............
NilitaniaMaana Kama ni Mark Antony walikuwa ni pair nzuri tu wala hakuwa babu...kazaliwa 1968, Jennifer yeye 1969.
Jlo kwa kweli hachuji
Nimekumbuka video inaitwa JENNY FROM THE BLOCK.........Maana Kama ni Mark Antony walikuwa ni pair nzuri tu wala hakuwa babu...kazaliwa 1968, Jennifer yeye 1969.
Angekuwa bongo, ningeliungaNa ww unga tela
![]()
![]()
![]()
............
Duh Jennifer ni nomaa...afu mara nyingi wanaume anaokuwa nao kwa shooting lazma adeti nao...Nimekumbuka video inaitwa JENNY FROM THE BLOCK.........
......,.........
NdioTume tena
Hilo ni jibu pigia mstari tu
Alitoka nae kabla ya kutoka na Puff Dady ila wakamwaganaKumbe Ben Aflek na JLo nao tayari...![]()
??? Huyu mwanamama ni nomaa target zake huwa hachemki hata!!
![]()
![]()
Sio kweli,Ila JLo ni mla muwa...anakutafuna ukiisha utamu anatupa kuleeee....!! Ona alichowafanyia wanaume wa nyuma...kama haitoshi hadi aliyekuwa mumewe Mark Antony..duh
Na ule wimbo my love dont cost a thing ndio aliuimba sababu ya Ben AffleckAisee kumbe..ni video ipi hiyo?
Nyie hamjui kuchaguaNashukuru na wewe umeliona hilo
HawavutiiKwakweli nimeliona...kwa kifupi sijawahi vutiwa na jamii yoyote ya bara la Asia
Pdidi hajawahi kushtuka, Ben hajawahi kushuka yule mcheza show wake Criss Judy alikuwa anatoka nae mbona hakuwa juu??Yeye huwa anapenda kubaki juu, angalia wote aliokuwa nao walikuwa juu, walipoonesha dalili za kushuka akawapiga chini
Wana exegarate tu wala haiko hivyoIlimradi hajavunja sheria
![]()
![]()
![]()
.................
Mi nilikuwa naikubali sana hiyo coupleNaskia sahv karudiana na jamaa flani hivi aliyekuwa ndio mtu wake...kama uliichek ile video ya "Love don't cost a thing"...mcheza dance wake.
Halafu ukakikosa sasaWahindi wana vishikwambi matata.......mi sekondari kilikuwepo kidemu cha kihindi nilikivizia kinoma
![]()
![]()
![]()
................
