Mrukus
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 396
- 192
Kwakweli nimeliona...kwa kifupi sijawahi vutiwa na jamii yoyote ya bara la AsiaNashukuru na wewe umeliona hilo
Yeye huwa anapenda kubaki juu, angalia wote aliokuwa nao walikuwa juu, walipoonesha dalili za kushuka akawapiga chiniIla JLo ni mla muwa...anakutafuna ukiisha utamu anatupa kuleeee....!! Ona alichowafanyia wanaume wa nyuma...kama haitoshi hadi aliyekuwa mumewe Mark Antony..duh
Ilimradi hajavunja sheriaIla JLo ni mla muwa...anakutafuna ukiisha utamu anatupa kuleeee....!! Ona alichowafanyia wanaume wa nyuma...kama haitoshi hadi aliyekuwa mumewe Mark Antony..duh
Naskia sahv karudiana na jamaa flani hivi aliyekuwa ndio mtu wake...kama uliichek ile video ya "Love don't cost a thing"...mcheza dance wake.Yeye huwa anapenda kubaki juu, angalia wote aliokuwa nao walikuwa juu, walipoonesha dalili za kushuka akawapiga chini
Siikumbuki jinaAisee kumbe..ni video ipi hiyo?
Poa tumsubiriSiikumbuki jina
Subiri mmbea mwenzio Jimena aje
![]()
![]()
![]()
...............
Wahindi wana vishikwambi matata.......mi sekondari kilikuwepo kidemu cha kihindi nilikivizia kinomaKwakweli nimeliona...kwa kifupi sijawahi vutiwa na jamii yoyote ya bara la Asia
Ht Bitoz anafuatwafuatwa PMYeye huwa anapenda kubaki juu, angalia wote aliokuwa nao walikuwa juu, walipoonesha dalili za kushuka akawapiga chini
Uliishiia tu kukivizia au ulikipeleka mpaka mabiboWahindi wana vishikwambi matata.......mi sekondari kilikuwepo kidemu cha kihindi nilikivizia kinoma
![]()
![]()
![]()
................
Itakuwa swaga tu....kaolewa na kitabu flani hivi kimzalisha mapachaNaskia sahv karudiana na jamaa flani hivi aliyekuwa ndio mtu wake...kama uliichek ile video ya "Love don't cost a thing"...mcheza dance wake.
Kitabu?Itakuwa swaga tu....kaolewa na kitabu flani hivi kimzalisha mapacha
![]()
![]()
![]()
.........
Predict & winUliishiia tu kukivizia au ulikipeleka mpaka mabibo
HahahaWahindi wana vishikwambi matata.......mi sekondari kilikuwepo kidemu cha kihindi nilikivizia kinoma
![]()
![]()
![]()
................
=kibabuKitabu?
Maana Kama ni Mark Antony walikuwa ni pair nzuri tu wala hakuwa babu...kazaliwa 1968, Jennifer yeye 1969.=kibabu
............