Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Itakuwa hamna namna nyingineBitoz anapenda kusafiri na new force
Itakuwa hamna namna nyingineBitoz anapenda kusafiri na new force
Dah basi hapo mchina alibana sana matumiziIla nasikia visiti vidooogo kama vya kwenye hiace![]()
![]()
![]()
Ndio hivyoDah basi hapo mchina alibana sana matumizi
Hivi scania ndo hizi marcopolo ama kuna tofauti?Baelezeeeeeeee
Unatoka dar mpaka dom na KF hewani, na USB charge fullKimbinyiko dodoma ni sheeeder, nimepanda siku moja ndani utadhani ndege
Hapo wametishaaaUnatoka dar mpaka dom na KF hewani, na USB charge full
Mbeya Kuna fast jetAnafikiri naweza panda guta
![]()
![]()
![]()
...........
Yah wana WIFI, mi nlikubali sana ile interior design wako vizuri sanaUnatoka dar mpaka dom na KF hewani, na USB charge full
Hizo hizo na BenzHivi scania ndo hizi marcopolo ama kuna tofauti?