Makapuku Forum

TAHADHARI: WANAUME WA DAR SASA MNAHAMIA DODOMA

Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata,
Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa,
Mambo yenu ya ushirikina na utapeli na wizi wa vifaa vyetu vya magari,
Sijui tabia zenu za kufanya birthday cjui vigodoro na singeli,
Kuulizana maswali ya kijinga kijinga cjui uko insta?fb!?asap!?
snapchart?
Sijui vitaulo na tabia za kunukia nukia kama watoto wa kike,
Tabia za kuja na kutupandishia kodi za nyumba mkisha fika hapa,
Fitna, sifa za kijinga, kukata kata viuno hadharani, na ushoga kula
madawa ya kulevya cjui mnaita ngada cjui punda nini, kutoa msaada
kidogo au kazi ndogo mnadai pesa,
Kuendesha magari spidi mitaani huku mmewasha taa kubwa mchana
kama mnawinda cjui jumapili baada ya kwenda kuabudu tunawaona
barabarani, mnakimbia cjui ni jogging cjui nn, kupiga piga makelele hasa
nyakati za usiku, kuja na vyakula vyenu vya ajabu cjui pweza,
Mambo mambo yenu ya maandamano cjui takataka gani cjui,
Kuchukua wake za watu na kutuaribia ndg zetu wa vyuoni na kuwapiga
dada zetu picha za uchi na kupiga piga cjui mnaita selfie vyooni,
makaburini, misibani, maiti, majeruhi ajalini,
Ubishi ubishi usio na tija kugomea maagizo halali ya vingozi wa serikali, na pia kumbukeni huku kila mtu ana nguvu za kiume yale matangazo yenu huku hayapo
Na tabia za wanaume wazima kukimbia vitoto (PANYA ROAD) hadi mnadiriki kujificha chini ya meza moja ndogo watu 12 huku isifike kabisa

TAFADHALI SANA MSITULETEE MIKOSI YENU HUKU HAYO MAMBO YENU
YAISHIE HAPO KWA MATIASI AU KILUVYA SISI HUKU HATUTAKI
VURUGU VINGINEVYO MTARUDI MMOJA MMOJA
 

Mjomba angu pia alikuwepo
.........
 
Nilikuwa namkubali sana Papa John Paul wa 2
 
Endeleeni kufuga ng'ombe
Mtuache

......
 
Hahaha
Cool
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…