Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Siku hizi wanyoa viduku na mapankiWanaume wa shoka...hapo ni mpira ulipokuwa mpira.
........
Siku hizi wanyoa viduku na mapankiWanaume wa shoka...hapo ni mpira ulipokuwa mpira.
PCM= Pushup,Cake & MusicKumbe na wewe ni muzee ya Pisiemu
Hii kweli lazima iume
Wacha waisome namba ya kocha wao mwenye jina la timu
Yule haondoki hivi hivi ataondoka wakati ametuachiaJose mtamfukuza tu,amewapa matumaini hewa
kadhaaNUKUU NO 1#
Sitagombea kiti cha urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu (1990)
Nimeamua kustaafu, sikulazimishwa,
Ni uamuzi wangu. Baada ya kulitumikia taifa katika nafasi mbali mbali nimekiomba Chama changu kumteua mwanachama mwingine.
Haya yalisemwa na aliyekuwa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)Idris Abdul Wakil, mbele ya waandishi wa habari nyumbani kwake mjini dar es salaam Agosti 12,1990
Akiahidi kuwa tayari kukabidhi madaraka kwa Rais mpya atakayechaguliwa. Abdul Wakil alizaliwa mwaka 1925, Zanzibar
Na kufariki Dunia Mach 15,2000.
Alikuwa Rais wa Zanzibar kuanzia October 24,1985 hadi October 25,1990
Kii kiboko kabisa
Huyu anastahili pongeziNUKUU NO 1#

Mambou shem langKii kiboko kabisa
Huyu kusema kweli ndio namsikia leo, sasa bila KF ningemjulia wapi??NUKUU NO 2#
Africa inaendelea kusonga mbele katika maendeleo. Jambo la msingi ni sasa ni kuendeleza biashara Kati ya nchi moja na nchi nyingine.
Kitu chochote kinachoonesha uwezo wetu ni cha kufurahisha sana.
Lililobaki ni kuungana zaidi kwa barabara, simu na reli ili biashara Kati ya mataifa ya kiafrica iimarike.
Maneno haya yalisemwa na aliyekuwa makamu wa Rais wa Botswana, Dr. Quett Masire, alipozungumza na waandishi wa habari katika uwanja wa ndege dar es salaam July 10,1972.
Masire alizaliwa Julai 23,1925 Botswana. Amepata kuwa Rais wa Botswana