Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Si bora akae basi hata furaha tuipate.. Toka 2006 ni maumiv tu, arsenal iliyonivutia 1999 si arsenal hii.. Makombe tunayaskia kwa jirani si tunavyo vya kahawa na chaiAondoke tu nae, amekaa sana pale
Sawa bhana kubaMpaka hapo sina la ziada, kwa Udhamini mnono wa Gazeti la Mseto tukutane kesho.
Au revoir.
Hbd mwanahesabu mwenzanguLeo katika Historia:
1930 - Jacques Tits mtaalamu wa Hesabu anazaliwa.
Vingongo vinapendelewa hata matakataka yao yanawekwa stickykweli mkuuu...
Hapana, ndio umenijuza wewe bob.
May be ana minywele kifuani + matakoniHuyu nae ana kipara lakini akili zimo.

Morng, vip ndugu!?Morning all kapuku
Poa kabisa makaveli, za pande hizoMorng, vip ndugu!?
Huku safi tu ndugu.. Tunamshkuru muumba.Poa kabisa makaveli, za pande hizo
Kunywa sumuDah.. Nataman kishenz iwe hvyo, hata ikiwezekana leo.. Nmechoka
Itakuwa ShegaNna mpango wa kuanzisha makapuku fm
Jimena utatufaa kwenye kusoma magazet na taarifa ya habari
Mussolini5 kaka wewe vipindi vya leo ktk historia itakuhusu
Golikipa wa arsenal utakuwa unatuletea mambo 10 tusiyoyajua
Jonax mzee wa simulizi
Bitoz vipind vya fix
Werrason ba mutu ba kongo, ndyo vile utatuleteaga na uchambuzi wa muziki ya kongo
Mie bosi mkurugenz kitambi meneja ntakuwepo kwa uchambuzi yakinifu wa soka
Wengine ntawapangia majukumu kadri muda unavyokwenda, najarbu tambua uwezo wenu..