makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,983
- 104,469
Jiandae tu mkuu soon, kapuku fm itakuwa hewani.Km unaleta uchambuzi IT IS OKAY
Mimi nahusika na LIVE UPDATE kuhusu soka
.....................
Jiandae tu mkuu soon, kapuku fm itakuwa hewani.Km unaleta uchambuzi IT IS OKAY
Mimi nahusika na LIVE UPDATE kuhusu soka
.....................
Hahaa.. Mambo hayo ya kawaida, ila hayaondoi ubora wake uwanjani.
Umenikumbusha mbali sana, desay, Frank, Gustavo poyet na Andre Flo
Heshima inapungua, Ile kutajwa tu mkwepa kodi nafsi yake inaumia sanaHahaa.. Mambo hayo ya kawaida, ila hayaondoi ubora wake uwanjani.
Ngongoti Flo mzee wa vichwaUmenikumbusha mbali sana, desay, Frank, Gustavo poyet na Andre Flo
Barcelona hawawezi kumsahauNgongoti Flo mzee wa vichwa
![]()
![]()
![]()
.........
Sawa pro-NessiHahaa.. Mambo hayo ya kawaida, ila hayaondoi ubora wake uwanjani.
Jamaa hapa aliwatisha wakrein na ubaguzi wao
Walimrushia ndizi?Jamaa hapa aliwatisha wakrein na ubaguzi wao
Walitaka kufanya hivyo, akawaambia Ole wake wamfanyie hivyo watajutaWalimrushia ndizi?
![]()
![]()
![]()
........
Labda ubingwa wa Ndondo cupNachukua ubingwa, huwezi amini
Kumbe leo ni siku yako