Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Leo katika Historia:
1962 - IBM yazindua rasmi kompyuta zake kwa matumizi ya watu binafsi.
1962 - IBM yazindua rasmi kompyuta zake kwa matumizi ya watu binafsi.
Bahili km Mpare utafikiri pesa anatoa yy
Man wana Ibra yy Takuma
Man wana Mkhit yy Makoti
Man wana Pogba yy Coloqueen
![]()
![]()
![]()
![]()
..............

Kampuni kongwe kabisa kwenye maswala ya teknolojiaLeo katika Historia:
1962 - IBM yazindua rasmi kompyuta zake kwa matumizi ya watu binafsi.
Happy Birthday JacquesLeo katika Historia:
1930 - Jacques Tits mtaalamu wa Hesabu anazaliwa.
Leo katika Historia:
1981 - Nchi ya Afrika Kusini yafungiwa kujihusisha na michezo ya Olimpiki kutokana na sera zao za Ubaguzi.
Asante sana kwa magazeti J JView attachment 380020View attachment 380021
Na mpaka hapo basi sina budi kukusanya kila kilicho changu na kuwaacha muendelee kutambaring TGIF
Kumbuka ni kwa udhamini wa fix na Bitoz na zile Mali zake alizotangaza jana, Niite Jimena Jimenes
Muwe na week end njema
Leo katika Historia:
1962 - IBM yazindua rasmi kompyuta zake kwa matumizi ya watu binafsi.
Nafikiri mpaka sasa bado ni Rais wa UfaransaLeo katika Historia:
1954 - Francois Hollande anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 24 wa Ufaransa.
Leo katika Historia:
1930 - Jacques Tits mtaalamu wa Hesabu anazaliwa.
Leo katika Historia:
1952 - Chen Kaige anazaliwa.
Ni mwigizaji toka nchini China.
PleasureAsante sana kwa magazeti J J