Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Kitambo sana sijamsikia huyu mtuLeo katika Historia:
1981 - Djibril Cisse anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Liverpool na Ufaransa.
Aliwahi kuvunjika mguu wake vibaya sana lakini akapona na kurudi tena Uwanjani.
Pia anasifika kwa kujichora tattoo za kutosha mwilini.