Makapuku Forum

Makapuku Forum

Habar ya usiku
*MASWALI MATANO (5) YAKUJIULZA AMBAYO YANAWEZA KUBADIRISHA MAISHA YAKO*

1. Mimi ni nani?
2. Nimetokea wapi?
3. Naelekea wapi?
4. Nimefika wapi?
5. Natakiwa nifanye nini?
Safari ya maisha kuelekea Mafanikioama chochote kile unachokiitaji, huanzia katika kujitambua.

*MAMBO MATATU MUHIMU KUKUFANIKISHA MAISHANI*

1. Maarifa (Knowledge)
Je unafahamu nini? Kwa kiasi gani? Hicho unachofahamu kinakufaidishaje wewe na wanaokuzunguka?
2. Maamuzi sahihi (Right decisions)
Kuwa makini sana na maamuzi unayoyafanya maana yanaweza kuijenga au kuibomoa leo na kesho yako.
3. Nafsi isiyo na ubinafsi (Unselfish mind)
Ukiwafungulia wengine milango na yako itafunguliwa, ukiwafungia na yako itafungwa kabisa. Wajali watu

*TABIA 8 ZINAZOUA NDOTO NA MAFANIKIO YA WATU WENGI.*

1. Kuahirisha.

2. Uvivu.

3. Kukata tamaa mapema.

4. Visingizio.

5. Mawazo hasi.

6. Matumizi mabaya ya pesa.

7. Kuridhika.

8. Ulevi kwenye mitandao ya kijamii.
*MAFANIKIO YANAANZA NAWEWE*
Asante sana Wii ake kwa maneno murua kabisa
 
Hahaha
Ata kuwa makumba fc uyu
1470944160442.jpg
1470944192805.jpg

Mo
Mooooo
Moooooooooo

.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom