Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Ni jirani namsalimia tu,unajua unapopita kwa jirani yako ni vizuri kumsabahi

Ni jirani namsalimia tu,unajua unapopita kwa jirani yako ni vizuri kumsabahi

Si wewe![]()
![]()
![]()

Kwema kabisa, karibu sana amaizingHumu ndani kwema??
Nipo kwa ajil yako usihofu mi Carino...Alikua ananiambia mimi kuwa amekuona humu mpenzi

Afadhali umemtulizaNiko poa Shululu...mzima lakin? Quigley punguza presha you are my only boo baby...![]()
Nawe piaNawatakia usiku mwema
Kwa uvuvi siwezi kupingaNamiliki boxer 10
Hakuna kapuku aliyenizidi
![]()
![]()
![]()
........
Namba 8Habar ya usiku
*MASWALI MATANO (5) YAKUJIULZA AMBAYO YANAWEZA KUBADIRISHA MAISHA YAKO*
1. Mimi ni nani?
2. Nimetokea wapi?
3. Naelekea wapi?
4. Nimefika wapi?
5. Natakiwa nifanye nini?
Safari ya maisha kuelekea Mafanikioama chochote kile unachokiitaji, huanzia katika kujitambua.
*MAMBO MATATU MUHIMU KUKUFANIKISHA MAISHANI*
1. Maarifa (Knowledge)
Je unafahamu nini? Kwa kiasi gani? Hicho unachofahamu kinakufaidishaje wewe na wanaokuzunguka?
2. Maamuzi sahihi (Right decisions)
Kuwa makini sana na maamuzi unayoyafanya maana yanaweza kuijenga au kuibomoa leo na kesho yako.
3. Nafsi isiyo na ubinafsi (Unselfish mind)
Ukiwafungulia wengine milango na yako itafunguliwa, ukiwafungia na yako itafungwa kabisa. Wajali watu
*TABIA 8 ZINAZOUA NDOTO NA MAFANIKIO YA WATU WENGI.*
1. Kuahirisha.
2. Uvivu.
3. Kukata tamaa mapema.
4. Visingizio.
5. Mawazo hasi.
6. Matumizi mabaya ya pesa.
7. Kuridhika.
8. Ulevi kwenye mitandao ya kijamii.
*MAFANIKIO YANAANZA NAWEWE*
cja elewaKwema za sku nyingi!!?Humu ndani kwema??
Usiku mwema pia Radika.Nawatakia usiku mwema ndugu zangu hope siku moja tukafahamiana.
MkuuuHebu tuingie chumbani wasije kutuvuruga kama dadangu jimena na mzee wa 10, naona kuna uchochezi hadi wamebadili gia angani![]()
![]()
![]()
Namba nane hiyo kweli mhhNamba 8
![]()
![]()
![]()
cja elewa
Haya usku mwemaNawatakia usiku mwema ndugu zangu hope siku moja tukafahamiana.