Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Uko na mudogo yako? ....anataka ngapi?Ongeza kidogo salary
Uko na mudogo yako? ....anataka ngapi?Ongeza kidogo salary
Swalama tu, ya kwako mpendwa!!?Habari ya wewe?
Leo analeta mwingine msikaririNgoja nisubili wimbo wa West life hapa
Umeshakuja sasa kuanza kuturudisha nyuma mengine upite tu sasaApana natia musisitizo kwenye muneno yake
Nitausubiri tu huo mwingineLeo analeta mwingine msikariri
Euro 5000 per months na masaa ya kazi yasizidi 8 vinginevyo utalazimika kulipa overtimeUko na mudogo yako? ....anataka ngapi?
Salama pia, tupe storiSwalama tu, ya kwako mpendwa!!?
Vepe!laima atakuya kunitafuta
ByeUmeshakuja sasa kuanza kuturudisha nyuma mengine upite tu sasa

Cc BinamuNitausubiri tu huo mwingine
PouwaVepe!
Unaenda wapi sasa
Ni kweli kabisa ankaliSzczesny hiyo gari kikwenu ni sawasawa na ng'ombe wawili,nimekurahisishia kabisa
Hhm.. Bora nisikilize zenu tu, zangu zitawatoa machoziSalama pia, tupe stori

Papaa Kasusu naniita, ndo napanda Porsche yangu apaUnaenda wapi sasa![]()
![]()
![]()
Karibu sana kwenye harusi maana natarajia kulipiwa mahari na binamu soon