Oui! Hapa Congo sio lazima uwe na munguo mingi ndyo upendezye!!!....bling modja matsatsa sana uko kutoshya alimuradi iwe muzuri na kung'aa Papaa[emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tukiongozwa na bamutu ba kongo
Cc werrason
Karibu kilingeni papaaLadies and Gentlemen nawasalimuni kwa jina la alieziumba mbingu na nchi.
Kwei mamii
Kali hii broMakavu Live najua wanatusoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
U. Ukitaka
K .Kuvunjwa
U .Uti wa mgongo
T .Tarehe moja
A .Andamana
.......
[emoji121][emoji121][emoji121]
Ahsante waziri[emoji125] [emoji125]Karibu kilingeni papaa
Sana [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana mkuu
Waziri ndio.. ila ni yule wa njenje [emoji4][emoji4]Ahsante waziri[emoji125] [emoji125]
Ingekukuta wewe ungeacha huo msosi? Ama ungejikaza kisabuni kumalizia kishingo upande [emoji4] [emoji4]
....mkeo Maua upo nae? .au umemwacha dar?[emoji4]Waziri ndio.. ila ni yule wa njenje [emoji4][emoji4]
Ningemaliza tu ila kitakochotokea watafurahia showIngekukuta wewe ungeacha huo msosi? Ama ungejikaza kisabuni kumalizia kishingo upande [emoji4] [emoji4]
Hahaha unakuta juu suti ya pink chini moka za njano unawaka posta nzimaOui! Hapa Congo sio lazima uwe na munguo mingi ndyo upendezye!!!....bling modja matsatsa sana uko kutoshya alimuradi iwe muzuri na kung'aa Papaa[emoji23] [emoji23]
Hahhaha wangechezea mateke ya shingo sio?Ningemaliza tu ila kitakochotokea watafurahia show
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahhaha wangechezea mateke ya shingo sio?