Ile hadithi iliyopita wala cyo ndefu kihivyo hvyo kazana uimalize mapema.
Hii hadithi ya THE ESCROW MISSION itakuwa na episode 11 tu
Poa poa nimewasoma hata ivo nimesha-save hizo page za hadithi ntapitia taratibu nkipata timeKwa siku mwisho ni EPISODE 5
.....................
Yani kwa nondo hizi mbona wakongwe watakuwa wanakuja huku kupata vionjo alafu wanapita kimywa kimya..![]()
Mambo yanazidi kunoga
Soma= Soka nilikosea
...............
Poa poa nimewasoma hata ivo nimesha-save hizo page za hadithi ntapitia taratibu nkipata time
Very true!Yani kwa nondo hizi mbona wakongwe watakuwa wanakuja huku kupata vionjo alafu wanapita kimywa kimya..
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tena muda unavyozidi kusonga ndo ma-idea yanazidi kuongezeka
Nmeamua kwenda speed kwa kuamua kutupia episode 5 kila siku ili mzigo uishe mapema.Mh tutafute namna mi niprint kabisa niwe nazisomea kwenye hardcopy mana humu unanikimbiza balaa![]()
![]()
Wakongwe hupita kila siku humu au bado hujui ? zen wanaanzisha thread kinafiki kutuponda wkt wanatukubali kimoyomoyoYani kwa nondo hizi mbona wakongwe watakuwa wanakuja huku kupata vionjo alafu wanapita kimywa kimya..
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tena muda unavyozidi kusonga ndo ma-idea yanazidi kuongezeka
Endelea tu kutuburudisha kikofia mana hamna namna sasaNmeamua kwenda speed kwa kuamua kutupia episode 5 kila siku ili mzigo uishe mapema.
Tena nianze kwanza na hizi hadithi fupi na huko nnapoelekea ntafikia zile hadithi ndefu zanye zaidi ya episode 100+

Its true maana mtu hawezi kuponda kitu kama hakijui.. hvyo huwa wanakuja hapa makapukuni nakupitia forum yetu then ndo aanze kudiss sasaWakongwe hupita kila siku humu au bado hujui ? zen wanaanzisha thread kinafiki kutuponda wkt wanatukubali kimoyomoyo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.......................

NUKUU NO 1# Kamwe msisahau kuwa serikali, na sekta ya umma kwa jumla, Sasa si mwajiri mkubwa kama ilivyokuwa zamani. Wanachama wenu wengi sasa watakuwa kwenye sekta binafsi. Na kwa kadri sekta binafsi inavyotwaa majukumu mengi zaidi ya kiuchumi na utoaji wa nafasi za ajira, ndivyo wajibu na kazi za vyama vya wafanyakazi zinavyoongezeka. Jiandaeni vizuri kuubeba mzigo huo, na serikali itawasaidia kwa dhati, haya yalisemwa na Rais wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa, Mei Mosi 2001 wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi jijini Dar es salaam, Mkapa alizaliwa Nov 12,1938 alikuwa Rais wa Tanzania Kati ya 1995 mpaka 2005
Its true maana mtu hawezi kuponda kitu kama hakijui.. hvyo huwa wanakuja hapa makapukuni nakupitia forum yetu then ndo aanze kudiss sasa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bitoz katika ubora wakeWakongwe hupita kila siku humu au bado hujui ? zen wanaanzisha thread kinafiki kutuponda wkt wanatukubali kimoyomoyo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.......................
Huyo jamaa na ungabure
Ukiona watu wabakudiss ujue upo juu..... Hawafurahii hii thread kubamba wanaona tumeuharibu Ufalme wao mfano GENTA alikuwa abatamba Chit Chat na vithread vyake uchwara now nimempoteza kabisa na huja hapa mara nyingi kututukana kwa kutumia ID zake zingine na huwa nazijua tangu kitambo ila simpagi kick nauchunaga RU![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
....................
huwa wakizidiwa hoja wanaanza kutukana tu

NUKUU NO 2# Tunahitaji program ya miji yetu. Dar es salaam hakuna miundo mbinu ya umma inayojengwa kulingana na ukuaji wake, hakuna ubunifu. Haya yalisemwa na aliyekuwa mgombea urais wa chadema mwaka 2010, Dr wallboard Slaa. Dr Slaa aliwahi kuwa katibu mkuu wa chadema, alizaliwa Oct 29,1948 katika kijiji cha kwermusi, wilaya ya mbulu kaskazini mwa Tanzania
Huyo jamaa na ungaburehuwa wakizidiwa hoja wanaanza kutukana tu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()