Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,513
- 40,613
[emoji106] Moya tu natosha Papaa [emoji23]Hahaha unakuta juu suti ya pink chini moka za njano unawaka posta nzima
[emoji106] Moya tu natosha Papaa [emoji23]Hahaha unakuta juu suti ya pink chini moka za njano unawaka posta nzima
Hahaha unataka ujue ili iweje au mna mipango yenu eeh?....mkeo Maua upo nae? .au umemwacha dar?[emoji4]
....ntakupa kula yangunagombea urais 2020 nami nikajenge kiwanja mabwepande
Apana Papaa, mimi nipo Palii, ila kama utaluhusu nifanye nae mucolabo mana ako na sauti muzuli syanaHahaha unataka ujue ili iweje au mna mipango yenu eeh?
Siwez ruhusu papaa, parii umeenda kunyoa? Mana naskia huwa mnaenda huko kunyoa hata ndevu tu [emoji23][emoji23][emoji23]Apana Papaa, mimi nipo Palii, ila kama utaluhusu nifanye nae mucolabo mana ako na sauti muzuli syana
Hahaha unakuta juu suti ya pink chini moka za njano unawaka posta nzima
Kenya wamepitisha sheria ya kuruhusu ndugu (binamu) kuoana
Briz ana mke[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]....mkeo Maua upo nae? .au umemwacha dar?[emoji4]
[emoji87] [emoji125] [emoji125]Briz ana mke[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
sheria hiyo tanzania ipoKenya wamepitisha sheria ya kuruhusu ndugu (binamu) kuoana
Nina mansion hapa PaliiSiwez ruhusu papaa, parii umeenda kunyoa? Mana naskia huwa mnaenda huko kunyoa hata ndevu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mukongo unanipeperushia ndege wangu hivihivi [emoji4][emoji4][emoji87] [emoji125] [emoji125]