shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Niajeee mutu ya CongoLadies and Gentlemen nawasalimuni kwa jina la alieziumba mbingu na nchi.
Niajeee mutu ya CongoLadies and Gentlemen nawasalimuni kwa jina la alieziumba mbingu na nchi.
Umeishakula, hata ukiacha haisaidii kituIngekukuta wewe ungeacha huo msosi? Ama ungejikaza kisabuni kumalizia kishingo upande![]()
![]()
Pouwa mutu ya Tizii, ako dar wewe?Niajeee mutu ya Congo
Uko vizuri sana papaa, kumiliki mansion parii sio mchezoNina mansion hapa Palii
Umeishakula, hata ukiacha haisaidii kitu
Kwei mamii, achana na muneno yanguAchana na maneno ya werrason bana mi ngekwambia tu![]()
![]()
![]()

Umetisha sana werrason
Natafuta msyaidhizyi wa ndani wa kyikye mushahala namupa euro efu mbili tu, ntapata???Uko vizuri sana papaa, kumiliki mansion parii sio mchezo
Nipo dar mutu yanghu, wewe ipo pale Kinshasa au kalemii?Pouwa mutu ya Tizii, ako dar wewe?
Kawaidha sana PapaaUmetisha sana werrason
Hii ni sawa na kuanza kula chakula afu baadae unagundua kuna mdudu kama mende labda na ameivia kwenye hicho chakulaUmeishakula, hata ukiacha haisaidii kitu

Mitu ya Congo mingi iko mupesa sana,Kawaidha sana Papaa
Niko Palii, Basi mutafute Bella Mwambie ule muzigo nimemutumia, simu yangu nimeisahau kwenye KLMNipo dar mutu yanghu, wewe ipo pale Kinshasa au kalemii?
Hahaha kwa hela utapata mke kabisa papaaNatafuta msyaidhizyi wa ndani wa kyikye mushahala namupa euro efu mbili tu, ntapata???



