Makapuku Forum

Makapuku Forum

1470923580815.jpg
 
Hongera mkuu, ukikaa kidogo ulizia viwanja
Wala sikai mkuu hapa ni transit tu kesho naelekea iringa, ila kuna jamaa yangu hapa kanitonya kuna kiwanja maeneo ya nkuhungu ndani ndani alinunua mwaka jana milioni 4 mwaka huu baada ya tamko la rais kuna mtu akataka kumpa milioni 12 amuachie amekataa anadai serikali ikija itamtajirisha... Naskia viwanja havishikiki huku sa ivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom