Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Number 7, Janet Yellen
moja ya wana wake wawili tuu walio kwenye kist hii
Huyu yeye ni mwenyeliti wa mifuko ya akiba ya shirikisho huko amerika yaan ni Chair of Federal Reserve of Washington, United States.
Huyu ana nguvu kwa kuwa ndiye anaye kontroo uchumi kwa namna yyte ambayo ana ona ina faa na ndo pesa zoote pale marekani ana zishililia yeye na ufunguo una lala kwake