Makapuku Forum

Number 2, Angela Merkel huyu ni Chancellor wa Ujerumani ambaye mwaka 2014 alifanikiwa kishinda awamu ya tatu ya uchaguzi wa miaka mi nne huko nchini kwake
Kwa sasa ni kama ndiyo kiongozi mkuu wa jumuiya ya ulaya pia ametumika kushawishi sana nchi za jumuia ya ulaya kushughulika mattzo ya nchi hizo likiwemo ttzo ka wakimbizi
 

Sisi biashara ya nyanya inatusumbua
........
 
Number 1, Vladimir Putin huyu ndio kiongozi nnaye mpenda zaid kwa sasa na nna fanya mipango ya kwenda kumtembelea siku moja
Ameweza kuiendeleza urusi ki uchumi na kijeshi pia wana nchi wake wana ikubali kazi anayo fanya kwa asilimia 89% ameweza kuwa kiongozi wa kuibakisha serikali huko Syria, kupambana na ISIS na kukichukua kisiwa cha Crimea bila bugudha ya mtu yyte
Uchumi wa urusi unakua na ndiye kiongozi mchapa kazi na mwenywe kauli kuliko wotee duniani
 

Vatican City
........
 

Akiwa Bongo
.......
 
Handsome kichizi
 
Nguvu ya mwanamke
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…