Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 10, Larry Page
1470849138681.jpg
akiwa na utajiri unao kadiriwa kufikia dola za kimarekani bilioni 37.6 mkurugenzi mtendaji wa Google ndugu Larry Page ana akamata namba 10
Hivi sasa ni CEO wa Google Alphabet ambayo ni kampuni mama inayo ziunganisha Google, Google X lab, Calico, Nest na Fiber
Mwezi wa 8 mwaka jana kuna mabadiliko yalijitokeza na kumfanya Page awe ni mkurugenzi anate shughulikia mipango ya muda mrefu
 
FIX ZA BITOZ:
1/Police wa Bongo wana uwezo wa kunusa uwepo wa maandamano ya CHADEMA umbali wa km 900 lkn hawawezi kunusa ujambazi uliopo mita 2 kutoka kituoni kwao

2/Wasichana wa Sekondari wana uwezo wa kusikia harufu ya chipsi yai umbali wa km 7 kuliko mbwa wa Police

3/Jukwaa la Polifix ndo jukwaa linaloongoza kwa ban hapa JF

4/serikali ya Bongoland inamiliki kandege kamoja tu kanakoruka tena ni kabovu na kanafanya safari za ndani tu

5/pamoja na Bongoland kuongeza kwa kuwa na idadi ndogo ya wasomi lkn ndo nchi pekee ya EAC ambayo diploma holder mwenye GPA 3,4 haruhusiwi kupiga degree tena anaitwa KILLERZER

6/Hata ufanyaje huwezi kujizuia kujamba ...utabana mchana lkn ukilala tu ushuzi utakutoka hata maiti uendelea kujamba dk kadhaa baada ya mtu kufa


*******************
Hiyo namba moja sio fix ni kweli kabisa
 
Number 10, Larry PageView attachment 379185 akiwa na utajiri unao kadiriwa kufikia dola za kimarekani bilioni 37.6 mkurugenzi mtendaji wa Google ndugu Larry Page ana akamata namba 10
Hivi sasa ni CEO wa Google Alphabet ambayo ni kampuni mama inayo ziunganisha Google, Google X lab, Calico, Nest na Fiber
Mwezi wa 8 mwaka jana kuna mabadiliko yalijitokeza na kumfanya Page awe ni mkurugenzi anate shughulikia mipango ya muda mrefu
1470849887309.jpg
1470849892929.jpg
 
Number 9, Narendra Modi
1470849567193.jpg
huyu ni waziri mkuu wa india ambaye amejizolea umaarufu mkubwaa toka aingia madarakani kwa kuanzisha maazimio mbali mbali kama vile Make in India. Digital India. Skill India, Swachh Bharat Abhiyan na pia ana mpango wa kuhakikisha india ina kuwa na majiji ya kisasa zaid ya 100
Na toka aingie hata utengenezaji wa bajaji umekua kwa kasi sanaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom