Ulivyosema top ten ya watu wenye nguvu mi nikajua ma-body builders kumbe ni nguvu ya mkwanjaNumber 10, Larry PageView attachment 379185 akiwa na utajiri unao kadiriwa kufikia dola za kimarekani bilioni 37.6 mkurugenzi mtendaji wa Google ndugu Larry Page ana akamata namba 10
Hivi sasa ni CEO wa Google Alphabet ambayo ni kampuni mama inayo ziunganisha Google, Google X lab, Calico, Nest na Fiber
Mwezi wa 8 mwaka jana kuna mabadiliko yalijitokeza na kumfanya Page awe ni mkurugenzi anate shughulikia mipango ya muda mrefu
Number 9, Narendra Modi View attachment 379187 huyu ni waziri mkuu wa india ambaye amejizolea umaarufu mkubwaa toka aingia madarakani kwa kuanzisha maazimio mbali mbali kama vile Make in India. Digital India. Skill India, Swachh Bharat Abhiyan na pia ana mpango wa kuhakikisha india ina kuwa na majiji ya kisasa zaid ya 100
Na toka aingie hata utengenezaji wa bajaji umekua kwa kasi sanaa
Nakubaliana na weweHiyo namba moja sio fix ni kweli kabisa
Kwan leo jirani hayupo hapo akuchangamshe kidogo?Daaah
Nasnzia kshenz yaan
Number 8, David Cameron View attachment 379193aliye kuwa waziri mkuu wa uingereza huyu
Asha jiuzulu hata hvo so tuspoteze mda kumfuatilia
Kwema mkuu?Nakubaliana na wewe
Kwema kabisa mkuu, za Kanda ya ziwaKwema mkuu?
Number 7, Janet Yellen View attachment 379194 moja ya wana wake wawili tuu walio kwenye kist hii
Huyu yeye ni mwenyeliti wa mifuko ya akiba ya shirikisho huko amerika yaan ni Chair of Federal Reserve of Washington, United States.
Huyu ana nguvu kwa kuwa ndiye anaye kontroo uchumi kwa namna yyte ambayo ana ona ina faa na ndo pesa zoote pale marekani ana zishililia yeye na ufunguo una lala kwake
Kanda ya ziwa nishaondoka mkuu leo niko taboraKwema kabisa mkuu, za Kanda ya ziwa
Ulivyosema top ten ya watu wenye nguvu mi nikajua ma-body builders kumbe ni nguvu ya mkwanja
Wape hi wanyamwezi, angalia usije ukang'ang'ania tabora, Kuna mambo hukoKanda ya ziwa nishaondoka mkuu leo niko tabora
View attachment 379213Endelea kunyanyua vyuma
...........
Hahaha mambo gan hayo mkuu?Wape hi wanyamwezi, angalia usije ukang'ang'ania tabora, Kuna mambo huko
Number 6, Bill Gates View attachment 379197akiwa na utajiri unao kadiriwa kufikia dola za kimarekani bilioni 79.9
Ni mkurugenzi na mwanzilishi wa makampuni makubwa ya kiteknolojua ya Microsoft huyu bhana ana kadiriwa kuwa ni mmoja ya watu matajiri kabisa ulimwenguni(nadhani ni namba moja kabsa kabsa)
Pia yeye na Melinda ambaye ni mkewe wameanzisha program ya Milioni 717 dola za ki marekani kwaajili ya kusaidia watt wenye matatzo ya lishe