[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Jimena she nz veve[emoji23]
Unalichokoza Licongo wkt bado linadaiwa buku 20 hotelini Kenya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ziba masikio papaa, usiiskie tena hyo harufu inakupoteza
Huu mchezo hauhitaji hasira[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Jimena she nz veve[emoji23]
Sifa namba mbili hata mi ninayo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]FIX ZA BITOZ:
1/Police wa Bongo wana uwezo wa kunusa uwepo wa maandamano ya CHADEMA umbali wa km 900 lkn hawawezi kunusa ujambazi uliopo mita 2 kutoka kituoni kwao
2/Wasichana wa Sekondari wana uwezo wa kusikia harufu ya chipsi yai umbali wa km 7
3/Jukwaa la Polifix ndo jukwaa linaloongoza kwa ban hapa JF
4/serikali ya Bongoland inamiliki kandege kamoja tu kanakoruka tena ni kabovu na kanafanya safari za ndani tu
5/pamoja na Bongoland kuongeza kwa kuwa na idadi ndogo ya wasomi lkn ndo nchi pekee ya EAC ambayo diploma holder mwenye GPA 3,4 haruhusiwi kupiga degree tena anaitwa KILLERZER
6/Hata ufanyaje huwezi kujizuia kujamba ...utabana mchana lkn ukilala tu ushuzi utakutoka hata maiti uendelea kujamba dk kadhaa baada ya mtu kufa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
*******************
Pesa madafu haisumbuiSasa hapa itabidi bepari Mussolin5 aingilie kati kulipa hilo Deni
Duuh hyo namba 6FIX ZA BITOZ:
1/Police wa Bongo wana uwezo wa kunusa uwepo wa maandamano ya CHADEMA umbali wa km 900 lkn hawawezi kunusa ujambazi uliopo mita 2 kutoka kituoni kwao
2/Wasichana wa Sekondari wana uwezo wa kusikia harufu ya chipsi yai umbali wa km 7 kuliko mbwa wa Police
3/Jukwaa la Polifix ndo jukwaa linaloongoza kwa ban hapa JF
4/serikali ya Bongoland inamiliki kandege kamoja tu kanakoruka tena ni kabovu na kanafanya safari za ndani tu
5/pamoja na Bongoland kuongeza kwa kuwa na idadi ndogo ya wasomi lkn ndo nchi pekee ya EAC ambayo diploma holder mwenye GPA 3,4 haruhusiwi kupiga degree tena anaitwa KILLERZER
6/Hata ufanyaje huwezi kujizuia kujamba ...utabana mchana lkn ukilala tu ushuzi utakutoka hata maiti uendelea kujamba dk kadhaa baada ya mtu kufa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
*******************
Pesa madafu haisumbui hivyo mimi sio uchwara.Musso ni bepari uchwara
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
...........
Bro swala la diploma naunga mkono, vigezo vikazweFIX ZA BITOZ: