Makapuku Forum

Number 10, Larry Page akiwa na utajiri unao kadiriwa kufikia dola za kimarekani bilioni 37.6 mkurugenzi mtendaji wa Google ndugu Larry Page ana akamata namba 10
Hivi sasa ni CEO wa Google Alphabet ambayo ni kampuni mama inayo ziunganisha Google, Google X lab, Calico, Nest na Fiber
Mwezi wa 8 mwaka jana kuna mabadiliko yalijitokeza na kumfanya Page awe ni mkurugenzi anate shughulikia mipango ya muda mrefu
 
Hiyo namba moja sio fix ni kweli kabisa
 
 
Number 9, Narendra Modi huyu ni waziri mkuu wa india ambaye amejizolea umaarufu mkubwaa toka aingia madarakani kwa kuanzisha maazimio mbali mbali kama vile Make in India. Digital India. Skill India, Swachh Bharat Abhiyan na pia ana mpango wa kuhakikisha india ina kuwa na majiji ya kisasa zaid ya 100
Na toka aingie hata utengenezaji wa bajaji umekua kwa kasi sanaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…