Makapuku Forum

FIX ZA BITOZ:
1/Police wa Bongo wana uwezo wa kunusa uwepo wa maandamano ya CHADEMA umbali wa km 900 lkn hawawezi kunusa ujambazi uliopo mita 2 kutoka kituoni kwao

2/Wasichana wa Sekondari wana uwezo wa kusikia harufu ya chipsi yai umbali wa km 7 kuliko mbwa wa Police

3/Jukwaa la Polifix ndo jukwaa linaloongoza kwa ban hapa JF

4/serikali ya Bongoland inamiliki kandege kamoja tu kanakoruka tena ni kabovu na kanafanya safari za ndani tu

5/pamoja na Bongoland kuongeza kwa kuwa na idadi ndogo ya wasomi lkn ndo nchi pekee ya EAC ambayo diploma holder mwenye GPA 3,4 haruhusiwi kupiga degree tena anaitwa KILLERZER

6/Hata ufanyaje huwezi kujizuia kujamba ...utabana mchana lkn ukilala tu ushuzi utakutoka hata maiti uendelea kujamba dk kadhaa baada ya mtu kufa


*******************
 
Sifa namba mbili hata mi ninayo
 
Duuh hyo namba 6
 
Bro swala la diploma naunga mkono, vigezo vikazwe
Tena mi nilijua wataweka 4.0
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…