Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Weka pichaTunaendelea kukesha vigodoro
........
Weka pichaTunaendelea kukesha vigodoro
........
Eti chura kwa kumtazama yupoje? kachuchumaa, kainama au kasimama?
Kwenda zako
![]()
![]()
![]()
........
Haya yasifike Afrika kabisa maana sijui kama itawezekana kukabiliana na hali kama hiyo kutokana na huduma za afya zilivyoNumber 4, Great Plague of London
1665 –1666View attachment 378706waliuawa watu zaid ya 75,000 hadi 100,000 ya watu wa london ndani ya mwaka mmoja ambayo ilitokana na ugonjwa uitwao viral hemorrhagic fever.
Wakati ugongonjwa ulipo zidi wana kadiriwa kufa watu 8000 per week na wengi wengi gawakuzikwa
Mji wa london ulichafuka maiti, wale walio kuwa matajiri waliweza kukimbia, pia wachungaji na mapadri walio jiweza nao walikimbia na kuacha makanisa yakijaa maiti
Maskini walio baki waliua maelfu ya mbwa na paka wakidhani labda uwepo wa hao wanyama unge sababisha maafa zaid
Ndani ya mwaka mmoja ni balaa kubwa nawana sema hili ndio janga ambalo serikali ilifanikiwa kulidhibiti vzuri kabsa
JimenaHaya yasifike Afrika kabisa maana sijui kama itawezekana kukabiliana na hali kama hiyo kutokana na huduma za afya zilivyo
KasimamaEti chura kwa kumtazama yupoje? kachuchumaa, kainama au kasimama?
Aisee kusema kweli ule ni ulafi kabisaUtasikia wanaume wa Mikoani hasa kanda ya ziwa.
Hehehehehe kwakweli itakucost sana, utajuuta kuitikia.Au itanitesa hiyo shikamo![]()
![]()
![]()
![]()
Nilikuwa na balanceHehehehehe kwakweli itakucost sana, utajuuta kuitikia
Marhaba (naona umeanza kulipa fadhila)
Ina maana vimelea vilibaki kwa miaka 9 zaidiNumber 2, The Third Pandemic
1855–1950sView attachment 378732 hii jaman nayo sja ielwa elewa lakin World Health Organization wana sema kwa india na china pekee walikufa watu milioni 12. Ina sadikika dalili zake zilithibitika kuua watu moaka miaka ya 1950 mpaka pale mwaka 1959 ilipo thibitshwa umtauni hii imepotea potea kabsaa
Bado part 2 sasaNumber 1, The Black Death
1347 –1351View attachment 378734 tha bubonic plague, kwa wale walio soma history lazma wana ijua tauni hii
Mnamo miaka ya 1338 ina sadikika kuwa mkulima mmoja huko china ya kati ali fariki kwa ugonjwa ulosababisgwa na bacteria aina ya Yersinia pestis ambaye alitokana na panya lakini kufika mwaka 1346 watu takriban milioni 15 walikuwa wamekwisha fariki huko china na ugonhwa ulikuwa umefika Crimea
Kumbuka kuwa feudalism ilikuwa imekua huko ulaya na idadi ya watu iliongezeka , njaa ilikuwa kubwa kutokana na mavuni kuwa machche na kuto tosheleza idadi ya watu, watu wengi walikimbilia mijini na makazi ya huko yalikuwa ni mabaya , takriban watu 10 mpaka 15 waliishi kwenye nyumba moja ndogo za mijini, pia watu walio kula nyama za watu walikuwa wameongezeka , watoto wadogo walitelekezwa na vita za ku tekana ziliongezeka , ulaya ilikuwa ni hatari kwa maisha ya bina dam
Wakati huo huo
Majeshi ya mongul empire ya huko china yalifika hapo kaffa karibu na crimea mwaka 1346
..... Mwisho wa part 1

Mmmh Hatari.Namba 1(2) tha black death plague
View attachment 378742 majeshi ya mongul yalifika kaffa yakiongozwa na jan begi, mji wa kaffa ulikuwa ni sumbufu vita iliwashinda wa mongul, lakin pia wana jeshi wa monguli wali fariki kwa wingi kutokana na kutapika damu, kukohoa damu na kutojwa na uvimbe weusi (bubons) ulio kuwa umevilia damu na yalikuwa ni mateso kabla ya kufa
Majeshi ya Mongul kabla ya kuondoka yaliamuliwa yachukue maiti zote na ya zirushie kwenye ukuta wa mji wa kaffa, ndani ya wiki moja mji wa kaffa ulijaa maiti na watu walianza kupata dalili zike zile za bubonic plague na walikufa kwa wingi karibu mji mzima walifariki lakini baadhi ya wafanya bishara wa ki italy walifanikiwa kukimbia kwa njia ya bahari na kuelekea huko sicly yaan italy kwenyewe
Lakin wakati wana kimbia panya walio kuwa wamebeba wadudu wenye kueneza tauni hiyo walipanda kwenye meli za wafanya biashara hao, ambapo kuanzia wakiwa kwenye meli hizo nao walipatwa na tauni hiyo
End of par 2