Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Halafu pamoja na kuvaa jeans hajawahi kupendezaNi dikteta yule ndio maana ananyoa nywele vile kichwa kibaya kama boksi.
Halafu pamoja na kuvaa jeans hajawahi kupendezaNi dikteta yule ndio maana ananyoa nywele vile kichwa kibaya kama boksi.
Mkuu mie nikiwa rais nchi hii wataondoka watu wengi sanaa ndio maana stak uongoz kabsaNdio awaue, hatari sana hiyo staili ya kutumbua watu
Weka picha ya dogo mzuriAmna bhana yule dogo mbayaaa
Akuna kitu
AaahUnakosaje kumjua jirani yako kwa mfano?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni dikteta yule ndio maana ananyoa nywele vile kichwa kibaya kama boksi.
Waraka wa lema ni mrefu ila uko jukwaa la siasa kule nme uchekiYule ni kiboko kabisa
Yupo kama kipipa ni mbaya sana yule sijapata kuona...sometyms akitabasam utamuona wa maana kumbe anakuua hivi hivi...[emoji33][emoji33]Halafu pamoja na kuvaa jeans hajawahi kupendeza
Unaemjua ni yule unayemuimbiaga tu au??Aaah
Uyo unaye muongelea smjui
Ngoja niende [emoji124] [emoji124] [emoji124]Waraka wa lema ni mrefu ila uko jukwaa la siasa kule nme ucheki
Hongera kapukuz wote... We are proud of ukapuku wetu.Leo katika Historia:
Ni miezi Minne ya Kapuku Forum.
Leo ni siku yetu hivyo hatuna budi kutamba kwa mbwembwe zote.
HahahahaWeka picha ya dogo mzuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmeipenda hiyoHii inaitwa namba nane kipeuo
Sasa huyu ana uzuri gani mbona kama sura imeenda upande?? Au ni mdomo tu??
Huyo kafanana na Joti sijui ndugu yake[emoji12] [emoji12] [emoji12]Au kama huyuView attachment 378422 black beauty
Hongera nawe piaHongera kapukuz wote... We are proud of ukapuku wetu.
Kwa hiyo yule mtt wa whitney mzuri kulko huyo!!!Sasa huyu ana uzuri gani mbona kama sura imeenda upande?? Au ni mdomo tu??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo kafanana na Joti sijui ndugu yake[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hujajibu swali,Kwa hiyo yule mtt wa whitney mzuri kulko huyo!!!
Loooh!!
Kumbe hawana undugu??[emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uongooo